Tafsiri ya Mazungumzo Katika Filamu za Kiswahili

Authors

  • H. Pembe

DOI:

https://doi.org/10.61538/huria.v21i0.49

Abstract

Taaluma ya tafsiri huingiliana na nyanja nyingine za kitaaluma kutokana na kujishughulisha kwake katika mawasiliano. Makala haya yanachunguza tafsiri ya mazungumzo ya Kiingereza katika filamu za Kiswahili nchini Tanzania. Filamu zilizoteuliwa katika uchunguzi ni ile ya Vita Baridi na Love & Power. Kimahususi, makala imechunguza mikakati mbalimbali iliyotumika kupata tafsiri ya mazungumzo ya Kiingereza kwenye filamu za Kiswahili wakati inajulikana kwamba mfumo wa mazungumzo na maandishi hutofautiana kisifa. Pia tafsiri ya mazungumzo ina kanuni na sheria zake. Sambamba na hayo, lugha ya Kiswahili na Kiingereza hutofautiana kiisimu, kitamaduni, kimazingira pamoja na kihistoria. Data zimechambuliwa kwa kuongozwa na nadharia ya ulinganifu kama ilivyoasisiwa na Nida na kisha kuendelezwa na Catford na Newmark. Makala imebaini kwamba matini asilia humwongoza mtafsiri kutumia mikakati kama vile udondoshaji, ufupishaji, ufafanuzi kimuhtasari, uingizaji na matumizi ya tarakimu katika mchakato wa tafsiri ya mazunugmzo ya Kiingereza kwenye filamu za Kiswahili.

Author Biography

H. Pembe

Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Kitivo cha Sanaa na Sayansi za Jamii

References

Bankole, A. (2006). Dealing with Abbreviations in Translation ktk

Translation Journal. Vol. 10. No. 4.

Bauer, L. (1983). English Word-Formation. Cambridge: Cambridge University.

Beaugrade, R. na Wolfgang, D. (1981). Introduction to Text Linguistics. New York: Longman.

Catford, J. C. (1965). A Linguistic Theory of Translation: An Essay in Applied Linguistics. Nairobi: Oxford University Press.

Chang, Y. (2012). A Tentative Analysis of English Film Translation Characteristics and Principles. Theory and Practice in Langugae Studies ktk Academic Publisher Manufactured. Finland Vol. 2, No. 1, uk 71-76.

Chiaro, D. (2009). Issues in Audiovisual Translation ktk Munday, J. (Mhr).

The Routledge Companion to Translation Studies. New York: Routledge Taylor & Francis Group

Ching-Ting, L. (2010). ―Analysis of English Subtitles Produced for the Taiwanese Movie Cape No. 7‖. Auckland University of Technology

(Tasnifu ya Uzamili - Haijachapishwa)

Cronin, M. (2009). Translation Goes to the Movies. New York: Routledge Crystal, D. (2004). The Cambridge Encyclopedia of the English Language. Cambridge: Cambridge University Press. (2rd ed)

Diaz-Cintas, J. (2003). Audiovisual Translation in the Third Millennium ktk

Anderman, G. M (Mhr) Translation Today: Trends and Perspectives. Clevedon: Multinlingual Matters Limited

Englert, B. (2010). In Need of Connection: Reflections on Youth and the Translation of Film in Tanzania ktk Wiener Zeitschrift f ür Kritische Afrikastudien. Stichproben

Englert, B. & Moreto, N. P. (2010). Inserting Voice: Foreign Language Film Translation as a Local Phenomenor in Tanzania ktk Journal of African Media Studies Vol. 2/2, uk. 225-239.

Fawcett, P. (1997). Translation and Language: Linguistic Theories Explained. Manchester: St. Jerome Publishing

Ghaemi, F. & Benyamin, J. (2010). Strategies used in the Translation of Interlingual Subtitling ktk Journal of English Studies. Vol. 1 (1), uk. 3949.

Halliday, M. A. K. & Hassan, R. (1976). Cohesion in English, New York: Longman

Horton, P. (2007). How to Tackle Translation Problems in a Text on Rugby:

Translating Culture and Style in Football, Identity, Place: The

Emergence of Rugby Football in Brisbane. From

http://www.essays.se/essay/d3. Retrieved in January 27, 2014

Humeid, A.M.A.A. & Altai, A.A. (2013). Errors in English and Arabic

Acronyms Made by Iraqi University Students of Translation ktk

International Journal of Humanities and Social Science.

Ivarsson, J. (2003). A Short Technical History of Subtitles in Europe (Online). Available on www. Transedit.st/history.htm

Kipacha, A. (2007). Utangulizi wa Lugha na Isimu. Dar es Salaam: Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

Kitsao, J. (1995) Mbinu za Uandishi. Nairobi: Nairobi University Press.

Koolstra, C. M., Peeters, A. L. & Spinhof, H. (2002). The Pros and Cons of Dubbing and Subtitling ktk European Journal of Communication. Vol. 17 (3), uk. 325-354.

Kristiansen, J. S. (2008). ―Intralingual Subtitling of Norwegian Film: Representing the Audio Aspect in the best way Possible for both a

Hearing and a Hard of Hearing Audience‖. Universitetet i Stavanger

(Tasnifu ya Uzamili - Haijachapishwa)

Ljung, M. (2003). Making Words in English. Lund: Student Litteratur.

Mogadam, L. & Shabanipoor, M. (2013). Application of Ellipsis and Lexical Cohesion in Subtitling and Dubbing: The Case of Prison Break TV Series. Journal of Foreign Language Teaching and Translations Studies. Vol 2, No. 2. uk. 70-90

Morris, J. (2009). ―An Investigation into Subtitling in French and Spanish Heritage Cinema‖. The University of Birmingham (Tasnifu ya Uzamili-Haijachapishwa)

Mponguliana, J. A. J. (1982). ―The Develeopment of Film in Tanzania‖. Dar es Salaam: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tasnifu ya Uzamili- Haijachapishwa)

Murguia, E. (2004). ―Syntactic Identity and Locality Restriction on Verbal

Ellipsis‖. University of Maryland (Tasnifu ya UzamivuHaijachapishwa).

Newmark, P. (1988). Approaches to Translation. Singapore: Prentice Hall International (UK) Ltd.

Ngunguti, M. A. (2013). ―Problems of Kiswahili-English Translations as Reflected English Subtitles in Selected Tanzanian Kiswahili Movies‖. Dar es Salaam: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (Tasnifu ya Uzamili- Haijachapishwa)

Nida, E. (1964). Towards a Science of Translating. Leiden: E. J. Brill.

Ogechi, N. O. (2002). Mbinu za Mawasiliano kwa Kiswahili. Eldoret: Moi University Press

Pembe, H. (2010). ―The Challenges of Translating Poetic Texts: The Case of Paul.

Sozigwa‘s Wimbo wa Lawino‖ Dar es Salaam: Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. (Tasnifu ya Uzamili Haijachapishwa)

Pyles, T. (1971). The Origin and Development of the English Language. New York: Harcourt Brace Jovanovich, Inc

Rubanza, Y. I. (1996). Mofolojia ya Kiswahili. Dar es Salaam: Chuo Kikuu Huria cha Tanzania.

Shule, V. (2011). Tanzanian Films: Between Innovation and Incompetence ktk Kerr, G. (Mhr) African Theatre: Media and Performance. New York: Boydell & Brewer Inc

TUKI (2009). Kamusi ya Kiswahili Sanifu. Nairobi: Oxford University Press.

Downloads

Published

2016-02-21