Muziki wa Hip Hop na Haki Za Kijamii: Dhima, Changamoto na Mapendekezo

Authors

  • H. Jilala

DOI:

https://doi.org/10.61538/huria.v21i0.52

Abstract

Haki za kijamii ni suala ibuka na la msingi kumakinikiwa katika uchunguzi na uchambuzi wa kazi za fasihi. Ni jambo ambalo linahitaji kujadiliwa na kuelezewa kwa jicho la kisanii. Sanaa ina nguvu sana katika kuelimisha, kuonya, kuadili, kuhamasisha, na kufunza. Ni dhahiri kuwa haki za kijamii zinaweza kuwasilishwa kwa jamii pana kupitia sanaa ya hip hop. Makala haya basi, yanabainisha dhima na mchango wa muziki wa hip hop katika masuala ya haki za kijamii, yanafafanua changamoto za muziki huu katika kuwasilisha haki za kijamii na kutoa mapendekezo kwa makundi husika.

Author Biography

H. Jilala

Idara ya Lugha na Fasihi, Kitivo cha Sayansi na Sanaa za Jamii, Chuo Kikuu Huria cha Tanzania

References

Abe, D. (2006). Loading the Cannon: Hip Hop as Formal Academic Curriculum words Beats & Life. Global journal of Hip hop culiture, 2(2) 56-61.

Adams, M. Bell, L. A. and Griffin, P. (Eds) (1997). Teaching for Diversity and Social Justice. New York: Routledge.

Cepede, R. (2004). And it Don‘t stop? The BVest American Hip hop Journalism of the Last 25Years. New York: Faber and Faber.

Chang, J. (2005). Can‘t Stop Won‘t Stop: A History of the Hip hop Generation. New York: Picador.

Duncan-Andrade, J.M. and Morrell, E. (2008). Arts of Critical Pedagogy Possibilities for MovingFrom Theory to Practice in Arburn Schools. New York: Peter Lang.

Hamanci, R. (2007). Academic Hip hop? Yes, yes Y‘ all. San Francisco Chronicle(Iliyopakuliwa kutoka ktiak http:// www.sfgate.com tarehe 1-9-2013).

Ismail, H. (2010/2011). ―Nafasi ya Nyimbo za Bongo Fleva katika Uelimishaji wa Haki katika.

Jamii‖ katika Omari, S na Mrikalia G. (Wah) (2010/2011) Toleo maalumu la Muziki wa Kizazi kipya, Mulika. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Juzuu na. 29&30 Uk. 29-37.

Jilala, H. (2008). ‗The Artistic Uses of Metaphors in Constructing Meanings and Messages in New Generation Songs in Tanzania.‘ MA

Dissertation (Unpublished), University of Dar es Salaam.

Jilala, H. (2011). ―Lugha na Jinsia katika Ushairi: Uchunguzi wa Sitiari za UKIMWI na Mapenzi katika Mashairi ya Bongofleva‖ katika Omari, S. na Mrikalia, G. (Wah) (2010/2011). Toleo Maalumu la Muziki wa Kizazi Kipya, Mulika. Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es salaam. Juzuu Na. 29&30 uk.55-68.

Kitwana, B. (2002). The Hip hop Generation: Young Blacks and Crisis in African-American Culture. New York: Basic Civitas Books.

Mangesho, P. (2003). ―Global Cultural Trends: The Case of Hip hop Music in Dar es Salaam‖,Unpublished MA Dissertation, University of Dar es Salaam.

Omari, S. (2006).‖Mitindo na Matumizi ya Lugha katika Muziki wa Kizazi Kipya‖ katika Jarida laTaasisi ya Uchunguzi wa Kiswahili, Chuo Kikuu cha Dar es salaam, juz. 69, pp 73-92.

Omari, S. (2009). Tanzania Hip hop Poetry as Popular Literature. Ph.D Thesis (Literature),University of Dar es salaam.

Omari, S. (2010/2011). ―Muziki wa Hip hop na Bongo Fleva katika Kuhamasisha Usomaji.

Nchini Tanzania‖, katika Omari, S na Mrikalia G. (Wah) (2010/2011) Toleo Maalumu la Muziki wa Kizazi kipya, Mulika. Dar es salaam:Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Juzuu na. 29&30. Uk. 100-111.

Omari, S. na Mrikalia, G. (Wah) (2010/2011). Toleo Maalumu la Muziki wa Kizazi kipya, Mulika.

Dar es salaam:Taasisi ya Taaluma za Kiswahili. Juzuu na. 29&30. Juzuu na. 29&30.

Perullo, A. (2003). The Life that I Live: Popular Music, Urban Practices, and Agency in Dar es Salaam, Tanzania. Ph.D Dissertation, Indiana University.

Perullo, A. (2005). Hooligans and Heroes: Youth Identity and Hip hop in Dar es salaam,Tanzania. Africa today 51 (4) 75-101. Indiana University Press.

Pride, F. (2007b). School of Hip hop: Urban Educators Devise Innovative Hip hop Curricula to help Elementary and Secondary Students Succeed Academically. Black issues BookReview, 9 (3) 8-13.

Reuster-Jahn, U. (2007). Let‘s go Party! Discourse and Self-Portrayal in The Bongo Fleva Song.

Rose, T. (1994). Black Noise: Rap Music and Black Culture in Contemporary America. New England: Wesleyan University Press.

Rose, T. (2008). The Hip hop War: What we Talk About When We Talk About Hip hop and why it Matters. New York: Basic Civitas

Suriano, M. (2007). ―Mimi ni Msanii, Kioo cha Jamii‖. Urban Youth Culture in Tanzania as seen Through Bongo Flava and Hip Hop. Katika Swahili Forum juzuu na. 14 (2007): uk.207-223:http://www.ifeas.unimainz.de/swafo/SF_14_12%20Suriano.pdf (imepakuliwa tarehe 1-9-

.

Vaugeois, L (2009). ―Social Justice and Music Education: Claiming the Space of MusicEducation as A Site of Postcolonial Contestantion‖ Action, Criticism and Theory for Music Education. 6/4: 163-200. Imepakuliwa tarehe 29-8-2013 katika hyy//act.maydaygroup.org/articles/vaugeois_4.pdf.

Woodford, P. (2005). Democracy and Music Education. Liberalism Ethics and the Politics of Practice. Indiana University Press.

Downloads

Published

2016-02-21