Muundo wa Kirai Kitenzi Katika Lugha ya Kisambaa
DOI:
https://doi.org/10.61538/huria.v21i0.53Abstract
Utafiti huu umechunguza muundo wa kirai kitenzi katika lugha ya Kisambaa. Mtafiti amebainisha vipashio vinavyoandamana na vitenzi katika sentensi za Kisambaa. Matokeo ya utafiti huu yanaonyesha kuwa kitenzi cha Kisambaa kinaweza kisifuatiwe na kipashio chochote au kinaweza kuandamana na vipashio mbalimbali kama vile kirai nomino, kitenzi kisaidizi, sentensi, kirai kielezi na kirai kihusishi. Hivyo kirai kitenzi cha Kisambaa kinaundwa na kitenzi kimoja; kitenzi na kirai nomino chenye nomino moja au mbili; vitenzi viwili; kitenzi na kiunganishi tegemezi na sentensi; kitenzi, kirai nomino, kiunganishi tegemezi na sentensi; kitenzi na kirai kihusishi; kitenzi na kirai kielezi.References
Allen, J.P.B. na wenzake (1971). Chomsky: Selected Readings. Oxford University Press: New York.
Baltin, M. na Kroch A. (1989). Alternative Conceptions of Phrase Structure. The University of Chicago Press: Chicago na London.
Besha, R.M. (1985). A Study of Tense and Aspect in Shambala. Phd Thesis (haijachapishwa)
Besha, R.M. (1993). A Classified Vocabulary of the Shambala Language with Outline Grammar. ILCAA, Asia na America.
Borsley, R.D. (1991). Syntactic Theory : A Unified Approach. Great Britain.
David, O. (1982), ―Tonal Phenomena in Kishambala‖. Katika Studies in African Linguistics 13:177-208.
Gazdar, E. na wenzake (1985). Generalized Phrase Structure Grammar. Basil Blackwell Publisher Ltd, UK.
Guthrie, M. (1971). Comparative Bantu: an Introduction to the Comparative Linguistics and Prehistory of the Bantu Languages of the World. Farnborough: Gregg International.
Kihore, Y.M. (1994). A Study of the Syntax of Kiswahili Verbs. Phd Thesis (haijachapishwa).
Kihore, Y.M. (2001). ―Ufundishaji wa Sarufi Miundo ya Kiswahili katika shule za sekondari Tanzania‖ katika Makala ya Kongamano la Kimataifa, Kiswahili 2000.TUKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Kihore, Y.M. (2004). ―Sarufi Miundo ya Kiswahili katika Karne ya Ishirini na moja‖ katika Kiswahili Karne ya Ishirini na moja. TUKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Massamba, D. na wenzake (2004), Sarufi Miundo ya Kiswahili Sanifu. TUKI, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam.
Rubanza, Y. (2003). Sarufi : Mtazamo wa Kimuundo. Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Dar es Salaam.
Kiambatisho